info@saratani.or.tz

Our email

+255 757 120 337

9:00 A.M. - 5:00 P.M.

Donate Now

Vikundi vya kufarijiana (SUPPORT GROUPS)

Vikundi vya kufarijiana (SUPPORT GROUPS)
Eng.
Cancer support groups are for bringing people affected by cancer (survivors or currently under treatment) together to help them share their progress after treatment or how to manage challenges they may face. These groups provide a safe place for people to get together, support each other, share ideas, get extra information, and learn coping skills in a non-judgmental environment.

translation
Haya ni makundi ambayo ni mahususi kwa ajili ya watu waliowahi kuugua saratani na wakatibiwa (wakapona) au wale ambao bado wapo kwenye matibabu ya saratani. Lengo kuu la kukutana na kufarijiana ni kujuliana hali (maendeleo) na changamoto (kama zipo) ambazo wanapitia baada ya kutibiwa saratani (kupona) au wanazopitia wakiwa bado kwenye matibabu.

Eng.
Support groups can meet at locations and times that suit their members, including online such as whats App groups or telegram. Tanzanian Cancer Society (TACASO) can help you connect to local support groups in your local area or you can get in touch with TACASO by using contacts provided in this website

translation
Watu hawa wanaweza kufanya hiyo mikutano yao kwa kukutana na kukaa eneo Fulani (ukumbini) au wakafanya mikutano yao kwa njia ya mtandao (mfano; whats APP na telegram). Asasi ya saratani Tanzania (TACASO) itasaidia kuwakutanisha watu hao au unaweza ukawapigia TACASO kwa ajili ya kukutanishwa na wenzio kwa kutumia namba zao za simu zinazopatikana kwenye sehemu ya mawasilino ya tovuti hii.

TACASO is dedicated to eliminating cancer as a major health problem, and improving the lives of those living with cancer

OUR ADDRESSES

address: Dar Es Salaam - Tanzania
email: info@tacaso.or.tz
phone: +255 757 120 337

SOCIAL MEDIA